INAWEZEKANA BAADHI YA WABUNGE WALIAMUA KUINGIA KATIKA SIASA ILI KUPATA POSHO NA KUJIKWAMUA KATIKA MATATIZO YAO....NA WAKAPIGA KAMPENI NA KUAHIDI MAMBO KADHA WA KADHA NASI TUKAWACHAGUA, TUYASIKILIZE MASHAIRI YAO KWA MAKINI NA KUWAHOJI WANACHOMAANISHA. MIMI BINAFSI HUWA NAPATA SHIDA KUELEWA WAMAANISHACHO.
No comments:
Post a Comment