|
PICHA FROM MWANANCHI NEWSPAPER LA JULY 2 2011 |
JE ZAWADI ZINAZOTOLEWA ZINAZINGATIA MAZINGIRA YA WANAFUNZI WANAKOTOKA? MAANA WANAFUNZI WENGI WANAOSOMA KATIKA MAZINGIRA FULANI KAMA SHULE FULANI WASAHAU KUINGIA BUNGENI SI KWA ZAWADI AMA KWA LOLOTE MAANA SHULE ZAO WANAOFAULU WANAPATA FOOO AMA ZIRO NA WASIMAMIZI WA ELIMU WAMEKULA BUYU...WAZIRI MKUU TUNAKUOMBA USITOE ZAWADI TUU, BALI ANGALIA MAZINGIRA YA SHULE KABLA YA KUTOA ZAWADI..HAKUNA ANAYEPENDA KUFELI, BALI MAZINGIRA PIA HUWAFANYA BAADHI KUONEKANA BORA NA WENGINE KUONEKANA VILAZA.
No comments:
Post a Comment